Naweza kufanya mazoezi muda mfupi baada ya tendo la ndoa?

ZoeI la nini wakati kufanya Mapenzi ni ZOEZI TOSHA....
 
Wakuu naomba kujuzwa kwani siku hizi nimejenga tabia ya kuamka
alfajiri na kukimbia kilomita 10 mpaka 20 na leo ni siku ya nne. Je iwapo
nimetoka kwenye tendo la ndoa muda huo naweza kuendelea na mazoezi
na nisiathirike kwa chochote. AHSANTENI.

Itakuathiri...mwili unahitaji kupumzika baada ya tendo..pumzika kwanza then labda jioni au kesho yake ndo ukafanye mazoezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…