Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Ni matumaini yangu wote wazima humu ndani. Nimesoma diploma ya procurement and logistic management ila baada ya kuingia bachelor degree nikabadilisha course na kusoma business management, naenda miaka 6 sasa hivi bila ajira, naona nilikosea kubadilisha course.
Naomba kujua kama ninaweza kufanya mitihani ya board ile ya procurement kwa kutumia cheti cha diploma na kama inawezekana inatakiwa niwe na ufaulu wa GPA ngapi na pia nikishafanya mitihani ya board je kwenye soko la ajira nitakua nalingana sifa na ambaye alisoma mpaka bachelor degree?