kiumbe kipya
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 2,831
- 1,304
sasa wewe si umeuliza Tanzania, Dar es Salaam!?du mbona wenzetu kenya hata hospital binafs wanafanya?
Huyo jamaa yako shamba kweli yaani mtoto wa kichina unaenda DNA?Mkuu chana nayo utaliwa pesa yako bure tu.kama mama mtoto alikwambia ni mwanao na mkemia mkuu nae atakwambia ni mwanao ili kupunguza tatizo la watoto wa mitaani.
Mf: rafki yangu mkewe kajifungua chotala wakichina ila DNA test inaonesha ni wake kwa asilimia 10000
Aisee mkuu uko sawa,Mkuu chana nayo utaliwa pesa yako bure tu.kama mama mtoto alikwambia ni mwanao na mkemia mkuu nae atakwambia ni mwanao ili kupunguza tatizo la watoto wa mitaani.
Mf: rafki yangu mkewe kajifungua chotala wakichina ila DNA test inaonesha ni wake kwa asilimia 10000
Pedee Mkuu uli kwii be?aISEE mKUU UKO SAWA,
mIE NIPO HUKU NA ULANZI NIJAWAJUZA.
Ilikuwa Kwa sababu,hapo ndio ujue hautaambiwa ukweli hata iweje!!kwahiyo we unabishana na vina saba?Huyo jamaa yako kifuniko kweli yaani mtoto wa kichina unaenda DNA?
Pa Rungemba,.. MwagitoPedee Mkuu uli kwii be?
Kama si mkeo umezaa nje je? Muache jamaa ajiridhisheTemana na mambo ya DNA mkuu, mtoto yeyote anayezaliwa na mkeo ni mwanao...!!!
nene Ndi pa mabaoni be.Pa Rungemba,.. Mwagito
nlishamtimua kitambo,kulikuwa na makando kando mengi tu ukiacha hili la DNAlea bwana,utapata thawabu,ila ukizaa wa pili afu una wasiwasi nae,ndio uwapime wote.
ndio ni sahihi,waweza kuta ni wa kwako isipokuwa rangi na nywele tu ndo vya kichina!Huyo jamaa yako shamba kweli yaani mtoto wa kichina unaenda DNA?
Naomba Contact za hao jamaa wa NairobiTatizo la bongo ni magumashi tu,utapimisha na utapewa majibu fake,
mwambie akapime Nairobi