Naweza kufanya wapi DNA testing kwa Dar es Salaam?

Naweza kufanya wapi DNA testing kwa Dar es Salaam?

kiumbe kipya

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
2,831
Reaction score
1,304
Wadau naomba kujuzwa kama kwa hapa Dar es Salaam au Tanzania tuna Hospital inayohusika na hicho kipimo tofauti na pale kwa Mkemia mkuu wa Serikali.

Natanguliza shukrani.
 
du mbona wenzetu kenya hata hospital binafs wanafanya?
 
Mkuu chana nayo utaliwa pesa yako bure tu.kama mama mtoto alikwambia ni mwanao na mkemia mkuu nae atakwambia ni mwanao ili kupunguza tatizo la watoto wa mitaani.

Mf: rafki yangu mkewe kajifungua chotala wakichina ila DNA test inaonesha ni wake kwa asilimia 10000
 
Huyo jamaa yako shamba kweli yaani mtoto wa kichina unaenda DNA?
 
Mkuu chana nayo utaliwa pesa yako bure tu.kama mama mtoto alikwambia ni mwanao na mkemia mkuu nae atakwambia ni mwanao ili kupunguza tatizo la watoto wa mitaani.

Mf: rafki yangu mkewe kajifungua chotala wakichina ila DNA test inaonesha ni wake kwa asilimia 10000
Aisee mkuu uko sawa,
Mie nipo huku na ulanzi nijawajuza
 
Temana na mambo ya DNA mkuu, mtoto yeyote anayezaliwa na mkeo ni mwanao...!!!
 
Huyo jamaa yako kifuniko kweli yaani mtoto wa kichina unaenda DNA?
Ilikuwa Kwa sababu,hapo ndio ujue hautaambiwa ukweli hata iweje!!kwahiyo we unabishana na vina saba?
 
lea bwana,utapata thawabu,ila ukizaa wa pili afu una wasiwasi nae,ndio uwapime wote.
 
Tatizo la bongo ni magumashi tu,utapimisha na utapewa majibu fake
 
Tatizo la bongo ni magumashi tu,utapimisha na utapewa majibu fake,

mwambie akapime Nairobi
 
Mkemia mkuu ndo ana dhamana ya kufanya iko kipimo kwa tanzajia
 
Back
Top Bottom