Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?


Kwa bei uliyoisema kumbuka hivyo vitu sio imara,na bei uliyoisema ni fundi gani?labda hawe wa kuunga unga.
 
Hiyo pesa inajenga ila usimamie mwenyewe kila kitu.
 
Hiyo hela kwa mikoani inatosha kujengea nyumba na inaisha kabisaaa! Kwa nini mng'anganie kujenga Dar peke yake? Njoni muanzie kujenga huku mikoani, nyumba ikiisha inakaa miaka miwili unaiuza unapata hela ya kujenga Dar! Simple like that....
 
Bibie usijali yale makwato ya ngombe tumesha pata dawa ingine tena sio dawa za kizamani hujambo lakini Jestina mpenzi.

Sijambo darling kahela nilikala lol ulaya kusave tena mnh kazi kweli
 
Last edited by a moderator:
20mil unahamia kabsa mbona vifaa mtaan vingi kwa bei poa tatizo mnakimbilia mafundi na vifaa vya bei ghari mno. ukienda kwa fundi ukajifanya mambo safi utalia kwa gharama atakazo kutajia.
 
Unaweza, inategemea na ukubwa wa nyumba yako....Km ni Chumba kimoja, Sitting room ndogo, na jiko dogo na choo unaweza...Simple house isiyo na mbwembwe kibao




jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...


thanks,
 
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...


thanks,

Labda kama unajenga gofu au shule lakini nyumba itakusogeza tu lakini hutomaliza.
 
gharama kubwa ni za mafundi
vifaa vingi ni cheap kuliko hata hizo data...
madirisha na mbao sio lazima ununue dukani..
unaweza nunua raw material ukapata fundi wa kutengeneza for cheap....
namba 3,6na 7 sio kweli,gharama zimezidishwa sana
 
Milioni 20 inajenga na kubaki,estimation ya kila chumba kikiwa complete ni Mil 3,sasa weka na dinning,ktichen na choo.Utaniambia,hiyo 20 M inatosha kabisa,huyu anayesema cement mifuko 150 kujengea na fininshing vyumba 4 nni muongo,au milango na madirisha milioni 5 ni muongo pia.Pia usimuamini anayesema wiring na vifaa vya umeme ni milion 5,nina uzoefu sana na ujenzi wa kimasikini,sh 1500,000.00 inatosha kabisa umeme.Take my word
 
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...


thanks,

Kujenga nyumba sio sawa na kubomoa nyumba; kwamba unagonga gonga kuta tuu mpaka iishe; la hasha! ni hatua, msingi, kuinua kuta; kumimina gebo; kupaua; kuezeka; kufunga milango na madirisha kisha finishing; Nakushauri you get started hapo zitakapokufikisha hizo 20m; basi unachukua pause; unatafuta nguvu tena.

Ukikubali kukatishwa tamaa na wenye wivu kwamba hiyo ni pesa ndogo sana basi utakosea maana waweza usikae ujenge tena kwa sababu pesa kamwe huwa haijai!!
Tahadhari: do not spread your resources too thin kwa kujaribu kujenga lijumba likuubwa sana; wewe sio tembo; Go go go. Best wishes
 

kweli kabisa hujadanganya nna uzoefu sana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…