Naweza kujenga nyumba kwa TZS Milioni 20?

Ishirini haifiki inaishia kama 18m nimekubali
 
Jenga mkuu, tena ikiwezekana nenda na ndugu na jamaa muwe mafundi wasaidizi, kubeba zege, tofali, kuchanganya mchanga n.k. Boma lako litolee jasho, utabana matumizi na kupiga tizi hapo hapo, vifaa hakuna kutuma mtu, chukua quotes toka kwa fundi, kanunue mwenyewe..
 
1, Maji bado
2, Mchanga bado
3, Kokoto bado
4, Kibali cha kujenga bado.
5,Mashimo ya Maji machafu.
6, Nondo za linter.
Ni afadhali ukanunua machine ya Matofali ya kufunganisha. Ukafyatua wewe Na rafiki yako. Au ukanunua Matofali hayo. Ukatafuta Fundi wa kuyapanga.
 
Kwa Usimamizi Bora wa Ujenzi.

Kwa Ujenzi wa Majengo Bora

Kwa Gharama Nafuu

Pamoja na Ubora wa Hali ya Juu

Usisite Kutupigia

*EYES ON*

Real Estates Company

Tupo
DAR-ES-SALAAM-Makumbusho


Tunasimamia kila Hatua ya Ujenzi

Kuanzia
1.Vibali
2.Ramani za Nyumba
3.Upimaji wa Viwanja/Hati
4.Ujenzi wa Nyumba/Finishing
5.Kupangisha Nyumba za Makazi au Biashara

Tupigie:-
OMARI RAJABU
STAFF EYESON
DSM HEADQUARTERS

*MAKUMBUSHO COMPLEX*
1 st FLOOR
0715-908698(Call/SMS/Whatsapp)
0759-538688(Call/SMS)
 
Jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo Dar kwa milioni 20? Niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...

Asante

Nunua kiwanja kilichopimwa Dar es Salaam upate na hati maeneo kama mbweni mwisho mwisho. Baada ya miaka mitatu utakiuza kwa gharama kubwa alafu hiyo hela utakayopata ndiyo ujengee nyumba.
 
Milioni 20 ni vihela vidogo sana.
Toa mchanganuo usiseme vihela vidogo kwa vile huna hata mia umkatishe mtu tamaa.au unadhani anataka kujenga masaki?au pale opposite na posta.au karibu na kempisky?
 
Unaweza kujenga mkuu tena vizuri,inategemea unajenga wapi,kama ni pale karibu na BOT haitoshi lakini kama ni nje ya mji unajenga vizuri,cha muhimu usianze kufanya chochote bila kupata quotation ili usikwame mahali.
 
Asanteni wote kwa input yenu,nyumba bado finishing,kwa experience yangu nyumba million 20 hazitoshi,ila zinasogeza kidogo,mbarikiwe wote and merry christmas
 
Asanteni wote kwa input yenu,nyumba bado finishing,kwa experience yangu nyumba million 20 hazitoshi,ila zinasogeza kidogo,mbarikiwe wote and merry christmas

Kwa ukubwa gani kwa maana y vyumba?
 
Inategemea nyumba ya namna gani. Kea nyumba za kisasa iliyokamilika chukua eneo la nyumba unayotaka kujenga (square meter) hala zidisha mara laki tano. Utapata makadirio mazuri ya gharama za ujenzi mpaka nyumba kukamilika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…