tumia toali za kuchoma tofali 8000 ni tzs 800,000
mafundi tzs 2000,000
mbao tzs 2000,000
cement mifuko 100 tzs 1,500,000
umeme 3,000,000
finishing +rangi 7,000,000
milango na madirisha 4,000,000
chenji inabaki
Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
Ngoja tuone! Kwa 'nyumba ya kawaida' na kwa 'ujenzi wa kawaida' rate per sq m sio chini ya tzs 500,000. Kwa nyumba ya vyumba 4 (vya say 4mx3m) inaweza kuwa na square metre 57.6 (i.e. 4mx3mx4rooms+20% circulation). So gharama inaweza kuwa kama 57.6x500,000=28,000,000. Labda kama vyumba hiyo unavijenga kama 'fremu' za maduka (fremu nne), lakini kama unakusudia nyumba hiyo 20m haitoshi!
kwenye red ume inflat sana. mil 20 unaweza kujenga bwana wasikudanganye watu uka[poteza pesa zako ila sasa inabidi use,me nyuma isiyo na decorations maana ukizungumzia decorations inaweza fika mil 100.
Hata mimi niliona hivyo!!!Mgawanyo Wa Vitu Na gharama zilizotajwa hapo chini zipo sahihi kabisa isipokua amesahau mchanga, kokoto na maji. Kama Kweli Unayo M20 Kwa Mara Moja Utaweza kujenga kwa urahisi kuliko gharama za kudunduliza fedha.
Tatizo wengine hapa wanatumia ya kitabuni ukifanya utendaji mwenyewe tofauti. Niliyokuambia si ya kufikirika na ndicho kilichofanyika. Jamaa ananunua matofali karibu na anapojenga na kuyachukua kwa tolori yeye mwenyewe. Maji madumu na anasukuma mwenyewe kumsaidia mjenzi wa kawaida. We unafikiria mahesabu ya kukodi kampuni ya kukujengea hicho si kiwango tunachotaka yakhe.
Mimi mwenyewe niliamua kujenga nyumba kwa mtindo huo niliisimamisha na kukamilika within 4 month pamja na kudril kisima cha maji kwa kuwatumia local people wanatumia mbavu kwa kucharge nguvu kwa kula ugali mwingi. Wanaondoka na milioni yao ya kidril ksima cha maji wakati ukialika kampuni leo hata milioni tatu kudril kisima watakutolea nje.
Tusikatishane tamaa bali tupeane njia za kuokoa gharama za ujenzi zisizo za lazima kwa kuwaajiri local people kuwapa ajira.
Hizo ulizoandika 28,000,000/= nitakujengea nyumba nzuri ya kawaida yenye 3 bedroom, dining na kitchen hadi inakamilika finishing, tunajua mbinu za kujenga kuokoa gharama na hiyo ufanyayo wewe unajitahidi kutafuta ulaji.

we huna hela hapo..nunua kivitz cha milioni 5 cha kuuzia nyago mjini..halafu nunua bb torch ya kuchat mambo ya facebook ,then nedna pale azam kwa akina madenge chukua samsung galaxy 2 ya deal anza kuchat jf...zinazobaki piga koka ama kesto laiti..achana na mambo ya kujenga ni mawazo ya kizee hayo...
Kama ni selfcointaned huwezi hata kwa bakora, lkn kama ni nyumba zetu za kawaida choo nje na chenji itabaki ya kufungulia ka genge ka kuanzia maisha.jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...
thanks,