finishingi ya 7m ni ya kitu gani au anasiliba mavi ya ngombe ukutani ndo iwe plaster!!!!!
Watu wa hapa ndio wale wanaosemaga eti kila Square meter moja unaijenga kwa Laki5. Yaani wanavyodai wao eti 15Mil unajenga 30Squaremetres tu, ambayo ni vyumba viwiliSikiliza kama uko serious, nenda pale chuo cha ardhi chuo kikuu cha dar, waulize wale walimu pale wao ni wataalamu wa ujenzi na architecture. Rafiki yangu alifanya hivyo na sasa amejenga nyumba nzuri kwa mil. 15. Humu ndani kuna watu watakukatisha tamaa bureeee!
NAOMBA UFAFANUZI NA MACHANGANUO MKUU KUN MAANA KWA UMASKINI WANGU NATAMANI SANA KUWA NA KIBANDA ILA GHARAMA NI KUBWA KWA KWELI
jamani siwezi kujenga nyumba ya vyumba vinne hapo dar kwa milioni 20????niambieni kama siwezi kabla sijaipoteza hii pesa...
Thanks,
km kiwanja unacho
vyumba 3 vya kulala, sebure ya kawaida, choo na jiko.
Bati 60x17,000= 1,020,000
mbao 2x6 @ 12,000 30pcs= 360,000
mbao 2x4 na 2x2 =40pcs x8,000=320,000
tofali 2600x900 = 2,340,000
cement mifuko 20x16000=320,000
mchanga lorry 2x70,000 = 140,000
kokoto lorry 1(3.5m3) 150,000/= 150,000
nondo pc 24 (ring beam na ground beam) @ 18,000/= 432,000
dirisha 6x90,000/= 540,000
milango na frame zake 5x230,000/=1,150,000
labour charges
tofali 2600x @ 300/= 780,000
kuezeka 200,000/=
milango na frame zake @ 15,000/=*5= 75,000
madirisha 6x 8,000/= 48,000/=
jumla around 8,000,000/=
hiyo balance ya 2m unafanyia finishing na vitu vidogo vidogo vinavopungua.
km kiwanja unacho
Vyumba 3 vya kulala, sebure ya kawaida, choo na jiko.
Bati 60x17,000= 1,020,000
mbao 2x6 @ 12,000 30pcs= 360,000
mbao 2x4 na 2x2 =40pcs x8,000=320,000
tofali 2600x900 = 2,340,000
cement mifuko 20x16000=320,000
mchanga lorry 2X70,000 = 140,000
kokoto lorry 1(3.5m3) 150,000/= 150,000
nondo pc 24 (ring beam na ground beam) @ 18,000/= 432,000
dirisha 6x90,000/= 540,000
milango na frame zake 5x230,000/=1,150,000
Labour charges
tofali 2600x @ 300/= 780,000
kuezeka 200,000/=
milango na frame zake @ 15,000/=*5= 75,000
madirisha 6x 8,000/= 48,000/=
Jumla around 8,000,000/=
hiyo balance ya 2m unafanyia finishing na vitu vidogo vidogo vinavopungua.
Ndio hapo, mafundi wako wa daraja na bei tofauti. Mie siwezi :]]
Hiyo bei ya tofali ipo sawa? si ishafika 1000 kwa sasa?Kwa kuwa kiwanja unacho millioni 20 mbona unahamia kwenye nyumba lakini finishing hutamaliza. Angalia mgawanyo wa gharama ( I assume uko Dar es Salaam na nyumba unayojenga ni ya mtu anayejenga nyumba yake ya kwanza):
- Matofali 5,000 @700=TZS3,500,000
- Mafundi (kujenga toka msingi mpaka kuezeka)=4,000,000/=
- Cement mifuko 150 @15,000=2,250,000/=
- Mbao zote TZS4,000,000/=
- Bati 60 @ 15,000=900,000/=
- Fundi umeme na vifaa vyake=5,000,000/=
- Finishing (madirisha na milango)=5,000,000/=
- Finishing (plastering + ceiling works)=5,000,000/=
Ndio hapo, mafundi wako wa daraja na bei tofauti. Mie siwezi :]]
km kiwanja unacho
Vyumba 3 vya kulala, sebure ya kawaida, choo na jiko.
Bati 60x17,000= 1,020,000
mbao 2x6 @ 12,000 30pcs= 360,000
mbao 2x4 na 2x2 =40pcs x8,000=320,000
tofali 2600x900 = 2,340,000
cement mifuko 20x16000=320,000
mchanga lorry 2X70,000 = 140,000
kokoto lorry 1(3.5m3) 150,000/= 150,000
nondo pc 24 (ring beam na ground beam) @ 18,000/= 432,000
dirisha 6x90,000/= 540,000
milango na frame zake 5x230,000/=1,150,000
Labour charges
tofali 2600x @ 300/= 780,000
kuezeka 200,000/=
milango na frame zake @ 15,000/=*5= 75,000
madirisha 6x 8,000/= 48,000/=
Jumla around 8,000,000/=
hiyo balance ya 2m unafanyia finishing na vitu vidogo vidogo vinavopungua.
Milioni 20 ni vihela vidogo sana.
hivi nyie jamaa mumeshajenga ama? maana inakuaje mtu anakushauri kitu ambacho hajawahi fanya?
Bei ya mchanga imefika laki na 20-30,kokoto ndio usiseme inategemea unataka za aina gani 1/2" ama 3/4" nazo bei ni kuanzia 260,000-320,000.
bei zako za milango na madirisha naona rahisi
mimi nilinunua bei kubwa sana
je wewe ni fundi mjenzi?
Haukuwa na haja ya kujenga sis getruda,kama unacho kiwanja hela yako inatosha kabsa na hata kama hauna kiwanja viwanja vipo vya kuanzia mil 1 mpaka 6,na hiyo 14 itamalizia mpaka unahamia ni pm nikupe michongo yote hadi una maliza nyuma yako,ya kisasa kabisa.