Naweza kujiunga na shahada ya kwanza ya ualimu?

Naweza kujiunga na shahada ya kwanza ya ualimu?

sabufa

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
26
Reaction score
4
wakuu naomba kunijuza tafadhali.Nina matokeo ya GPA 2.6666667 katika matokeo yangu ya diploma ya ualimu.Je,ninaweza kuyatumia kuomba nafasi ya masomo shahada ya kwanza kupitia TCU?
 
jaribu japo wanataka credit na hiyo yako ni pass.Jaribu bahati yako ila jaribu kuchagua vyuo ambavyo havina competition kubwa.
 
Back
Top Bottom