Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami nasuburi comment nipate la kujifunzaHabari za majukumu wadau! Naomba kujuzwa, je naweza kwenda benki nikakopa mkopo kwaajili ya kuanzisha biashara lakini nikatumia nyumba yangu kama dhamana? Naomba kufahamishwa ktk hili..
Nashukuru kwa maelezo yako Boss. UbarikiweHawawezi kukupa, lazima uwe na biashara kwanza, na hata kama una biashara bank wanazingua sana
Bongo mizinguo mingi sana, yaani wanakuvuta kwa maneno matamu... Wanakuambia wiki tu mkopo tayari... Ila ukianza process sasa utajuta...na lazima uwe na hela ya maana maana process tu zinatumia pesa..... Uandaliwe business projection, ulete valuator afanye evaluation ya nyumba yako... Uhonge maafisa mikopo n.k
Nadhani dhamana ya kazi ndo njia rahisi ya kupata mkopo kupitia bank
Asantee sana kwa ushauri wako mtaalam. Ubarikiwe!Sikushauri kukopa Ili kuanzisha biashara, kopa Ili uendeleze biashara....ushauri Kama huu ulikuwa unatolewa humu nikawa sielewi, Ila nilivyoingia Kwa ground ndiyo nilielewa maana yake....narudia, USITHUBUTU unless unataka kuwauzia benki hiyo nyumba.
Shida inaanzia kwenye investment cost like gharama za location, usafiri, miundombinu ya biashara n.k, hizi gharama huwa hazirudi mapema....hapo bado hujatengeneza wateja, kumbuka mwanzo biashara ni ngumu...wakati huo Una rejesho la benki.Asantee sana kwa ushauri wako mtaalam. Ubarikiwe!
Nitaufanyia kazi ushauri wako! Asantee sanaaShida inaanzia kwenye investment cost like gharama za location, usafiri, miundombinu ya biashara n.k, hizi gharama huwa hazirudi mapema....hapo bado hujatengeneza wateja, kumbuka mwanzo biashara ni ngumu...wakati huo Una rejesho la benki.
Unaweza kujikuta unakopa milioni kumi, ila pesa utayoiingiza direct kwenye mzunguko wa biashara ni milioni 5, nusu nyingine imeliwa na investment cost...unadhani utatoboa? Hata ukitoboa utatoboa Kwa tabu sana.
Sikushauri kuacha wazo la biashara, Ila tafuta pesa sehemu nyingine, iwe kujibana, vikoba, au kupangisha hiyo nyumba huku wewe ukijibana sehemu ya gharama nafuu Ili upate mtaji wa kuanzia....ukishaelewa upepo wa biashara nenda benki.
Umepotosha mkuu.Hawawezi kukupa, lazima uwe na biashara kwanza, na hata kama una biashara bank wanazingua sana
Bongo mizinguo mingi sana, yaani wanakuvuta kwa maneno matamu... Wanakuambia wiki tu mkopo tayari... Ila ukianza process sasa utajuta...na lazima uwe na hela ya maana maana process tu zinatumia pesa..... Uandaliwe business projection, ulete valuator afanye evaluation ya nyumba yako... Uhonge maafisa mikopo n.k
Nadhani dhamana ya kazi ndo njia rahisi ya kupata mkopo kupitia bank
Nalichukua pia wazo lako mkuu, shukrani!!Umepotosha mkuu.
Ukiwa na dhamana (collateral) ndio rahisi sana kukopa benki. Jukumu la benki ni kukupa pesa tu, sio kukupangia matumizi. Watakachozingatia wao ni marejesho yao tu.
Yeye aende benki aseme ana nyumba anataka kukopa. Watampa taratibu za kibenki ikiwemo kufanya evaluation ili kuithaminisha gharama ya soko ya nyumba yenyewe, na benki itatathimini anastahili kupewa kiasi gani.
Naongea kupitia experience, bank Gani wanaweza kukupa pesa kwa dhamana ya nyumba bila kua na biashara??? Kuna bank wanatoa mkopo kwa dhamana ya nyumba bila kuwaandikia business plans zako na projection yake??Umepotosha mkuu.
Ukiwa na dhamana (collateral) ndio rahisi sana kukopa benki. Jukumu la benki ni kukupa pesa tu, sio kukupangia matumizi. Watakachozingatia wao ni marejesho yao tu.
Yeye aende benki aseme ana nyumba anataka kukopa. Watampa taratibu za kibenki ikiwemo kufanya evaluation ili kuithaminisha gharama ya soko ya nyumba yenyewe, na benki itatathimini anastahili kupewa kiasi gani.
Hupo sahihi. NMB wako fasta sana kutoa mkopo KAMA mkopaji amekidhi vigezo, ambavyo ni:Hawawezi kukupa, lazima uwe na biashara kwanza, na hata kama una biashara bank wanazingua sana
Bongo mizinguo mingi sana, yaani wanakuvuta kwa maneno matamu... Wanakuambia wiki tu mkopo tayari... Ila ukianza process sasa utajuta...na lazima uwe na hela ya maana maana process tu zinatumia pesa..... Uandaliwe business projection, ulete valuator afanye evaluation ya nyumba yako... Uhonge maafisa mikopo n.k
Nadhani dhamana ya kazi ndo njia rahisi ya kupata mkopo kupitia bank
Usiende bank kukopa kwa nia ya kuanzisha biashara hawatakupa huo mkopoHabari za majukumu wadau! Naomba kujuzwa, je naweza kwenda benki nikakopa mkopo kwaajili ya kuanzisha biashara lakini nikatumia nyumba yangu kama dhamana? Naomba kufahamishwa ktk hili..
Bhana mwacheni,kashawaelewa" sauti ya wengi ni ya Mungu"
Habari za majukumu wadau! Naomba kujuzwa, je naweza kwenda benki nikakopa mkopo kwaajili ya kuanzisha biashara lakini nikatumia nyumba yangu kama dhamana? Naomba kufah