Naweza kukopa mkopo wa kuanzisha biashara na nyumba yangu kuwa dhamana?

Naweza kukopa mkopo wa kuanzisha biashara na nyumba yangu kuwa dhamana?

Jaribu kwenda kwenye microfinance mbalimbali kama FINCA, Access, ABC, na wengine
 
Hupo sahihi. NMB wako fasta sana kutoa mkopo KAMA mkopaji amekidhi vigezo, ambavyo ni:
1. Mkopaji awe na biashara.
2. TIN
3. Tax Clearance Certificate
4. Business Licence.
5.Security(nyumba,kiwanja nk).
Sipendi kubishana vitu ambavyo navifanya Kila mwaka
 
Yaani ukope ukaanze biashara na dhamana ni nyumba 😂😂😂 mkuu hakuna pigo litakupata kama hilo kwanza utakosa makazi na pili biashara itakufa kiufupi unaenda kujitoa kafara na hakuna bank itakupa mkopo ukaanze biashara na ukijidanganya ukatumia njia za panya umejila
 
Shida mikopo ya bank riba yake ni kubwa na processing fees zinaumiza sanaa huwezi pata faida kama unaanza kuna kuanguka pia.Acha watauza nyumba hao wapuuzi kama wana dawa vilee.
 
Mh au ndio unataka kuwauzia nyumba bank kijanja..maana skuiz nyumba baziuziki
 
Back
Top Bottom