Hupo sahihi. NMB wako fasta sana kutoa mkopo KAMA mkopaji amekidhi vigezo, ambavyo ni:
1. Mkopaji awe na biashara.
2. TIN
3. Tax Clearance Certificate
4. Business Licence.
5.Security(nyumba,kiwanja nk).
Yaani ukope ukaanze biashara na dhamana ni nyumba πππ mkuu hakuna pigo litakupata kama hilo kwanza utakosa makazi na pili biashara itakufa kiufupi unaenda kujitoa kafara na hakuna bank itakupa mkopo ukaanze biashara na ukijidanganya ukatumia njia za panya umejila
Shida mikopo ya bank riba yake ni kubwa na processing fees zinaumiza sanaa huwezi pata faida kama unaanza kuna kuanguka pia.Acha watauza nyumba hao wapuuzi kama wana dawa vilee.