Naweza kukopa shilingi ngapi benki kwa mshahara wa laki 6?

Sasa mkuu unafkri watafanyaje na malipo ya landlord ni robo?
 
chukua salary yako toa makato yote kisha salio zidisha mara 0.66 baada ya hapo zidisha mara miezi ya mkopo unaotaka kuchukua utakuwa umepata jibu sahihi la figure unayoweza kukopa. assuming riba ni chini ya 22%.
600000*0.66= 3960000*60= 23,760000/=
Hapo kila mwezi rejesho itakuwa sh.ngapi kwa miezi hiyo 60
 
chukua salary yako toa makato yote kisha salio zidisha mara 0.66 baada ya hapo zidisha mara miezi ya mkopo unaotaka kuchukua utakuwa umepata jibu sahihi la figure unayoweza kukopa. assuming riba ni chini ya 22%.
Hii formula ya 60% unayoipigia mshahara nlinatumika na bank zote ama,hebu fafanua mtaalamu
 
chukua salary yako toa makato yote kisha salio zidisha mara 0.66 baada ya hapo zidisha mara miezi ya mkopo unaotaka kuchukua utakuwa umepata jibu sahihi la figure unayoweza kukopa. assuming riba ni chini ya 22%.
60% of ur salary... Ukipata unapiga kwa kipindi mkopo unakua matured unapata marejesho je hapo hapo na riba imo...hebu liweke sawa hilo
 
tangia nichukue 15m crdb na kutakiwa kurudisha 24m sina ham na mikopo, hilo pepo linipite kutali kabisa.
Wana balaa...hahhahhahaha....na sio hiyo Bank tu, Bank zote ndo hivyo hivyo...Hahhaha
 
unapata 12,000,000 for 60months huku ribA ni 17%
Mwambie ukweli.

Ukisema ""Huku Riba ni 17%"
Mtu akipiga hesabu atajua atarudisha 14,040,000/=

Wakati kwa ukweli kabisa, atatakiwa/atajikuta karudisha 18,000,000/=.
 
Vinginevyo wewe ni Afisa Mikopo, ambaye unajali maslahi ya Kazi yako...unavutia kwako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…