Mkuu kama ukitaka kukopa nenda benki uitakayo wewe ukaulizie achana na porojo za hapa ndani.
Wengi wanataja riba 17% au 21% WAONGO SANA. Iko hivi unapokopa riba inaenda hadi 75% kutegemea tu na muda utakaoutumia kulilipa hilo deni.
Mkuu kukopa ni KUNYONYWA tena kwa kiwango cha kukamliwa ukitaka kukopa kubali kuzitajirisha taasisi za kifedha.
Watumishi sijui hawajui hesabu au kukubali kila kitu uambiwacho yaani ukope milioni 6 na ulipe milioni 10 kwa miezi 60 halafu useme riba ni 21%[emoji85] [emoji87]