Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kumtia motoni mwenzako..kila siku zinakuja thread zenu mnalalamikia hii taasisi..kama ni beginner kopa Bayport ujifunze
Bayport??? Kuwa na hurumakama ni beginner kopa Bayport ujifunze
Kwa viipi mkuu, wengi tunafuatilia hiii threadBenki nyingi riba ni 21%mpaka 18 ambapo ndio nafuu hiyo sasa piga hesabu unataka chukua sh ngapi ,marejesho halisi +riba utapata total ya makato kisha chukua hiyo 6 toa makato kitakacho baki jiulize
Utaweza kutoboa nacho ushauri bora ubaki 300000
Figure inayokuja ndio pesa unayoweza kukopa?chukua salary yako toa makato yote kisha salio zidisha mara 0.66 baada ya hapo zidisha mara miezi ya mkopo unaotaka kuchukua utakuwa umepata jibu sahihi la figure unayoweza kukopa. assuming riba ni chini ya 22%.
Haha wana nn hawa bayport kwan mkuu?kama ni beginner kopa Bayport ujifunze
makato maximum ni 1/3 ya mshahar wako in which case ni 200000 kutegemea na mkataba wako unaweza pewa 36 month time 200000 ni kama 7200000 so unaweza pata milion 7 kwa miaka minneWakuu Kwa mshahara wa laki 6 take home naweza kukopa mpaka sh.ngapi na marejesho yanakuwaje
unapata 12,000,000 for 60months huku ribA ni 17%
Inategemeana na Miaka ya kukaa kwa mkopo. Na pia inategemeana na mahali ulipokopa (Bank etc).Wakuu Kwa mshahara wa laki 6 take home naweza kukopa mpaka sh.ngapi na marejesho yanakuwaje
Akichukua hiyo M 12.unapata 12,000,000 for 60months huku ribA ni 17%