Naweza kukuonesha njia nzuri ya kuipa muonekano nadhifu ofisi au nyumba yako

Naweza kukuonesha njia nzuri ya kuipa muonekano nadhifu ofisi au nyumba yako

Joined
Feb 13, 2024
Posts
80
Reaction score
204
Habari zenu wadau, leo nawakaribisha na kuwaambia kwamba sisi kama African businesses tunatoa huduma ya kupamba na kupendezesha ofisi au makazi kwa kwa kutumia mapambo ya mbao na picha pamoja na materials mengine, tunafanya ofisi au nyumba yako kuwa nadhifu kabisa.

Gharama zetu ni nafuu sana, karibuni tuwaudumie, tunapatikana Mbezi mwisho barabara ya kuelekea Kinyerezi
Mawasiliano 0769292964
0652365501
 

Attachments

  • images (90).jpeg
    images (90).jpeg
    28.5 KB · Views: 17
  • images (80).jpeg
    images (80).jpeg
    40.9 KB · Views: 14
  • images (88).jpeg
    images (88).jpeg
    28.4 KB · Views: 16
Back
Top Bottom