KATUMBACHAKO
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 399
- 108
Habari wana Jf! Mimi ni mtumishi wa serikali ambaye nimeajiriwa miaka 3 iliyopita! Toka mwaka jana/oktoba, faili langu ktk ofisi za DED (MKURUGENZI) halionekana! Nimerudia mara 3 lakini nazungushwa tu! Sijafanya kosa lolote la kikazi/kimaadili! Naombeni msaada wenu maana mm nawaza kumshtaki DED.NB: Kwenye faili kulikuwa na nyaraka mbalimbali zikiwemo za madai mbalimbali ( naidai serikali)