NAWEZA KUMSHTAKI DED [mkurugenzi] KWA HILI?

KATUMBACHAKO

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
399
Reaction score
108
Habari wana Jf! Mimi ni mtumishi wa serikali ambaye nimeajiriwa miaka 3 iliyopita! Toka mwaka jana/oktoba, faili langu ktk ofisi za DED (MKURUGENZI) halionekana! Nimerudia mara 3 lakini nazungushwa tu! Sijafanya kosa lolote la kikazi/kimaadili! Naombeni msaada wenu maana mm nawaza kumshtaki DED.NB: Kwenye faili kulikuwa na nyaraka mbalimbali zikiwemo za madai mbalimbali ( naidai serikali)
 
Tunawasubiri wataalam wa sheria, naamini tutapata somo hapa.
 


Cause of action ni ipi hapa? Unataka kumshitaki kwa kosa lipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…