Salaam wana bodi,
kuna binti yangu amepata matokeo yafuatayo,
Naomba ushauri je anaweza kupangiwa kwenda wapi.
S3933/0003
[TD="width: 4%"] F [/TD]
[TD="width: 6%"] 27 [/TD]
[TD="width: 4%"] IV [/TD]
[TD="width: 58%"] CIV-D HIST-D GEO-D KISW-C ENGL-D PHY-D CHEM-D BIO-D B/MATH-D
[/TD]
salaam wana bodi,
kuna binti yangu amepata matokeo yafuatayo,
naomba ushauri je anaweza kupangiwa kwenda wapi.
s3933/0003
[td="width: 4%"] f [/td]
[td="width: 6%"] 27 [/td]
[td="width: 4%"] iv [/td]
[td="width: 58%"] civ-d hist-d geo-d kisw-c engl-d phy-d chem-d bio-d b/math-d
[/td]
anaweza kwenda teaching- ualimu, veta, kilimo, mifugo,forestry, nursing au udaktari ngazi ya cheti
Sina hakika kama Vyuo vya Ualimu wanapangwa moja kwa moja.Lakini,anauwezekano mkubwa wa kupata Ualimu Grade IIIA.Hatahivyo,aweza kurudia baadhi ya masomo na kutafuta credits 2 ili asonge Kidato cha tano na cha sita
labda ualimu. Lakini anaweza kuamua kusoma A level huku akisaidiwa kurudia mitihani baadhi ili apate credit 3 za kumwezesha afanye NECTA f.6. Itende sec. school, mbeya jijini tuna programu hiyo kwa ada nafuu, sh 300,000 kwa mwaka, kama atakaa bweni ataongeza laki 5 kwa mwaka. Michepuo HGE, HGK, HGL NA HKL. Kama utapenda wasiliana nami kwa maelezo zaidi. 0754734009
Mamndenyi kama anaweza aende advance huku akitafuta credit hapo arts itakuwa nzuri zaidi au apply afya tangazo lipo jukwaa hili