Zinnob5 Member Joined Aug 16, 2021 Posts 30 Reaction score 2 Apr 13, 2024 #1 Wadau wa Arusha mambo niaj vip nawez kupata Getto la 20k arusha. Kama lipo ni maeneo gani na vipi kuhusu swal la ulinzi
Wadau wa Arusha mambo niaj vip nawez kupata Getto la 20k arusha. Kama lipo ni maeneo gani na vipi kuhusu swal la ulinzi
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Apr 13, 2024 #2 Kwani hili ni group la WhatsApp la wakazi wa Arusha. Tafuta dalali mkuu mbona chumba ishu ndogo sana ukiweka mpunga mezani ni chap
Kwani hili ni group la WhatsApp la wakazi wa Arusha. Tafuta dalali mkuu mbona chumba ishu ndogo sana ukiweka mpunga mezani ni chap
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,230 Reaction score 10,650 Apr 13, 2024 #3 Zinnob5 said: wadau wa Arusha mambo niaj vip nawez kupata Getto la 20k arusha.....kam lipo ni maeneo Gn... na vip kuhus swal la ulinzi Click to expand... Kisongo hapo
Zinnob5 said: wadau wa Arusha mambo niaj vip nawez kupata Getto la 20k arusha.....kam lipo ni maeneo Gn... na vip kuhus swal la ulinzi Click to expand... Kisongo hapo
Pantomath JF-Expert Member Joined Jan 4, 2019 Posts 842 Reaction score 3,449 Apr 13, 2024 #4 Kwa geto la 20k arusha unapata, kuhusu suala la ulinzi, Ujilinde mwenyewe. Kwa ufupi, Uwe mlinzi wako.
Kwa geto la 20k arusha unapata, kuhusu suala la ulinzi, Ujilinde mwenyewe. Kwa ufupi, Uwe mlinzi wako.
Hope urassa JF-Expert Member Joined Aug 22, 2017 Posts 4,230 Reaction score 10,650 Apr 13, 2024 #5 Pantomath said: Kwa geto la 20k arusha unapata, kuhusu suala la ulinzi, Ujilinde mwenyewe. Kwa ufupi, Uwe mlinzi wako. Click to expand... 🤣Anunue kile kigodoro chembamba tu asiweke vitu ndani na aungane na kikosi kazi vibaka na asijitenge maana wakikosa cha kuiba watamuiba yeye mwenyewe
Pantomath said: Kwa geto la 20k arusha unapata, kuhusu suala la ulinzi, Ujilinde mwenyewe. Kwa ufupi, Uwe mlinzi wako. Click to expand... 🤣Anunue kile kigodoro chembamba tu asiweke vitu ndani na aungane na kikosi kazi vibaka na asijitenge maana wakikosa cha kuiba watamuiba yeye mwenyewe
King Jody JF-Expert Member Joined Oct 8, 2022 Posts 1,834 Reaction score 3,456 Apr 13, 2024 #6 Nenda maeneo ya Ngarenaro kuna vyumba hadi buku jero unapata