Naweza kupata chuo gani sasa hivi hata kama ni cha private?

enoswilliam

Member
Joined
Apr 12, 2014
Posts
39
Reaction score
0
Habaari zenu wana jf nilihitimu kidato cha nne 2012 na kupata daraja la nne ya pointi 27 ambapo mwaka 2013 nilituma maombi ya ualimu lakini sikuchaguliwa mwaka huu pia nilituma lakini mambo ni mabaya kwan wenye dv4 hawaja chaguliwa...Je kwa muda huu naweza kupata chuo gani hata kama ni cha private..? msaada wenu tafadhali.
 

Jaribisha SINGIDA TC au LAKE TC na chenyewe kipo singida. kila la heri ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…