Niombe chuo gan na faculty gan Kw matokeo ao
uelewa wako ni mdogo kuhusu hili st. joseph hawana mamlaka ya kudahili mwanafunzi....lazima apitie tcuAende st joseph huyu pale wanabeba tu muhimu uwe na principal mbili
speaking of truth engineering from ardhi hupati, coet hupati, dit(diploma fine ,degree am not sure) ,must (diploma fine, degree may be) . kwa matokeo hayo hasa ukiangalia na ufaulu wa mwaka huu kutoka dv 1 -403 mwaka jana to dv 1 - 4405 mwaka huu.
vyuo vingine sijui
uelewa wako ni mdogo kuhusu hili st. joseph hawana mamlaka ya kudahili mwanafunzi....lazima apitie tcu
Nnimeitim 2014
Mdogo wewe maana hao tcu hata kama wanadahili wao hawawezi kumpeleka COET so st joseph wao ndio wanaopokea hizo points
Inaonesha hujawahi kutumia mfumo wa TCU..ukiapply kama hunavigezo sysyem inakutema na St. Joseph mfano mwaka jana mdogo wngu aliapply pale nakumbuka cutpoint ilikua 3.5pts.
Kwa viwango vya mwaka huu hiyo DDE= EEF. So hii inaleta cut off points = 1+1+0=2. Points 2 ni ndogo sana kupenya competition kwenye udahili ( hasa kwa mwaka huu). Hivyo basi, usife moyo ndugu, kwa uelewa wangu mdogo nashauri piga kwanza dipl ikiwezekana then degree badae