Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
We una mashetani si bure,st joseph utemwe 3.5 basi dunia itakua ya mwisho,huo mfumo nimetumia na st joseph ilikua E mbili tu za science unabebwa so saiv DD mbili wankuchukua,uachwe 3.5 st joseph?thubutuu
Acha upuuzi dogo..ka saumu inakusumbua it's better ukalala, naongea kitu halisi then unaleta utumbo, kichwa kizito ka nini nyie kizazi cha majoka, ushaelezwa D ya mwaka huu ni equivalent na E kwenye system ya TCU na E kwa mwaka huu sio principle.
Unapoapply unaapply through TCU na vyuo vyote licha ya kuwa mtu mwenye principle mbili anaruhusiwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu vimeweka points za mwisho na kwa St Joseph ni 3.5 ingia uangalie sio unakurupuka tu, system inavyofanya kazi kama hujakizi vigezo inakuambia not eligible.