Naweza kupata engineer kwa matokeo aya. D ya physc. D ya math na E ya chem

Naweza kupata engineer kwa matokeo aya. D ya physc. D ya math na E ya chem

We una mashetani si bure,st joseph utemwe 3.5 basi dunia itakua ya mwisho,huo mfumo nimetumia na st joseph ilikua E mbili tu za science unabebwa so saiv DD mbili wankuchukua,uachwe 3.5 st joseph?thubutuu

Acha upuuzi dogo..ka saumu inakusumbua it's better ukalala, naongea kitu halisi then unaleta utumbo, kichwa kizito ka nini nyie kizazi cha majoka, ushaelezwa D ya mwaka huu ni equivalent na E kwenye system ya TCU na E kwa mwaka huu sio principle.

Unapoapply unaapply through TCU na vyuo vyote licha ya kuwa mtu mwenye principle mbili anaruhusiwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu vimeweka points za mwisho na kwa St Joseph ni 3.5 ingia uangalie sio unakurupuka tu, system inavyofanya kazi kama hujakizi vigezo inakuambia not eligible.
 
MWAKA 2013: A = 80 – 100; B = 75 - 79;
C = 65 – 74; D = 55 – 64; E= 45 – 54; S =
40 – 44 na F =0 – 39.
Hivyo vilikuwa viwango vya ufaulu 2013
linganisha na vya sasa.
Edit Reply Report Post
Baraza walitumia flexible grade range Kwa kila somo na yake., sasa mbona unawaongepea watu na grade hizo ambazo si kweli..,
 
Acha upuuzi dogo..ka saumu inakusumbua it's better ukalala, naongea kitu halisi then unaleta utumbo, kichwa kizito ka nini nyie kizazi cha majoka, ushaelezwa D ya mwaka huu ni equivalent na E kwenye system ya TCU na E kwa mwaka huu sio principle.

Unapoapply unaapply through TCU na vyuo vyote licha ya kuwa mtu mwenye principle mbili anaruhusiwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu vimeweka points za mwisho na kwa St Joseph ni 3.5 ingia uangalie sio unakurupuka tu, system inavyofanya kazi kama hujakizi vigezo inakuambia not eligible.

Kwanza mimi sio dogo ni mkubwa wako pili usimkatishe mwenzako tamaa,st joseph cut off point ni 2 na pia ardhi,out,must,nit,irdp,na vyuo vengine kibao cut off ni 2 so acha kujifanya unajua ukapotoa jamii,mpe ushauri mwenzako sio kumkatisha tamaa,st joseph hawana uwezo wa kuweka cut off 3.5 hata siku moja wakati COET ni 2.5 soma vizur guide book,na mimi kufunga nimeanza zamani so usitafute uchochoro
 
Niombe chuo gan na faculty gan Kw matokeo haya

Pole kijana umefanikiwa kupata cheti tu hapo., Kwa matokeo ya mwaka Hui na sheria za TCU visit WWW.tcu. go.tz., ili uweze kuchaguliwa chuo lazima uwe na credit pass ya C mbili.. Ambazo ndo point nne., hakuna chuo utachoweza kupata I say take it from me kwamba D mbili siyo credit pass., apply cheti kijana., Pole sana
 
Kwa grade ulizotaja inaonekana wewe una average capacity kwenye hayo masomo ya msingi katika Uhandisi. Unaweza kusomea Uhandisi na ukafanikiwa, lakini ni lazima uweke juhudi kubwa sana, kuna courses zitakusumbua sana kuzielewa.
 
Pole kijana umefanikiwa kupata cheti tu hapo., Kwa matokeo ya mwaka Hui na sheria za TCU visit WWW.tcu. go.tz., ili uweze kuchaguliwa chuo lazima uwe na credit pass ya C mbili.. Ambazo ndo point nne., hakuna chuo utachoweza kupata I say take it from me kwamba D mbili siyo credit pass., apply cheti kijana., Pole sana

Bora umenisaidia, watu wanapotosha madogo humu afu wanajifanya wanajua, hizo D kwa mwaka huu ni E kwa TCU na mtu mwenye E licha ya kuwa ndio ni points 2 haruhusiwi kuapply kabisa labda awe amemaliza mwaka jana kurudi nyuma, sijui kitu gani wanashindwa kuelewa.
 
Back
Top Bottom