Wadau wanauliza kama kuna uwezekano wa kupata gari used ya kubebea mizigo ya kununua kwa njia ya instalment (malipo kidogo dogo) kwa hapa Tanzania
Naitajia naombeni msaada wenu
Naitaji fuso figher ton 7.5 na kuendelea au scania 93 installment yangu ni kulipa kidogo dogo hadi nimalize
Au kupewa grii nakuwa nalipa kwa kila mwezi kiwango tutakachokubaliana nikishindwa kulipa kiwango icho hicho kwa mwezi fulani uliopo ndan ya makubaliano wanachukua gari lao na fedha siwadai
Nina wazamini wakunizamini lakini gari iwe used na ipo apa inchini na inafanya kazi
Bei ntapokea yoyote maeleawano baadae