Naweza kupata gari ya kubebea mizigo apa inchini ya instalment

jchris

Senior Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
125
Reaction score
41
Wadau wanauliza kama kuna uwezekano wa kupata gari used ya kubebea mizigo ya kununua kwa njia ya instalment (malipo kidogo dogo) kwa hapa Tanzania
Naitajia naombeni msaada wenu
 
jchris maelezo itakuwa ngumu sana kukupa huo msaada japo wa mawazo. hiyo gari ni aina gani, magari ya kubeba mizigo yapo ya aina nyingi so please fafanua hapo. Na hizo instalments ni kwamba ni mpk uzimalize ndio upewe gari au?
 
Naitaji fuso figher ton 7.5 na kuendelea au scania 93 installment yangu ni kulipa kidogo dogo hadi nimalize
Au kupewa grii nakuwa nalipa kwa kila mwezi kiwango tutakachokubaliana nikishindwa kulipa kiwango icho hicho kwa mwezi fulani uliopo ndan ya makubaliano wanachukua gari lao na fedha siwadai
Nina wazamini wakunizamini lakini gari iwe used na ipo apa inchini na inafanya kazi
Bei ntapokea yoyote maeleawano baadae
 
Kuna fuso inauzwa.bei mil 35..ila malipo ya instalments,mmh
 
Back
Top Bottom