Wakuu,pia mimi nina tatizo kama hilo!
Nina diploma in procurement,2/1/2013 nmepata kazi ya kufanya stock pamoja na kaz nyngine ktk duka 1 kubwa,ila hatukuingia mkataba wowote,nmemaliza ila kuna hesabu za kumalizia,tar 10/8/2013 bos kasema amenipa likzo ya 1 wik.
Likizo haina maelezo na mshahara wa August sijapewa,niko nyumban bado 1 wik haijaisha nahis anataka niache kazi,
je km ameniachisha kaz nichukue hatua gan?,
msaada tafadhali,