Raelish
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 489
- 162
polen na kaz za kujenga taifa waungwana,..nimepewa barua ya kuachishwa kazi tarehe 1 agost ikinitak kuacha kaz tar.2 agost,na nimekaa kazin miez 6..sababu za kuachishwa kazi hazijasababishwa namim,.ninachojua natakiw kupewa mshahara wa mwez 1 lakn mwajiri anakataa,je ni haki?? na je ni haki gan zingine nastahili kupewa?? kwa yeyot anayjua sheria kuhs hl anisaidie..natanguliza shukuran.!!