Naweza kupata matokeo ya kidato cha nne kwa Jina?

Naweza kupata matokeo ya kidato cha nne kwa Jina?

Joined
Apr 3, 2013
Posts
53
Reaction score
0
Jamani jamani,

Kuna mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana af eti hana uhakika na namba yake, yani namba yake ya mtihani ameisahau.

Msaada jamani kama kuna uwezekano wa kuyaona matokeo kwa majina.

Mimi nimetafuta sioni.
 
Jamani jamani,, kuna mdogo wangu alimaliza kidato cha nne mwaka jana af eti hana uhakika na namba yake;; yan namba yake ya mtihani ameisahau. Msaada jaman kama kuna uwezekano wa kuyaona matokeo kwa majina. Mimi nimetafuta sioni.

Wacha kujisumbua wee hakuna anasohau namba yake ya mtihan. Uyo amefeli na ameamua kukufcha wee na kukudanganya namba yake ameisahau.
 
aende shule alomaliza list ya majina na namba itakuwepo au asubiri results slip
 
Tafuta mawasiliano na Mwl wa Shule aliomalizia huyo mdogo wako then atakupa full detail za matokeo


ila huyo nae mzushi. ..sijawahi sikia mtu kasahau number yake kwa Muda mfupi hivi
 
Mbona simple tu, we nenda shule alyomaliza, onana na academic master, Atakupa list ya wanafunz wote.
 
Uyo dogo ni hewa kala 0 ka akumbuki namba akiwa rais atasahau nchi yake uyo.
 
Back
Top Bottom