Naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya mkataba wa biashara?

Naweza kupata mkopo benki kwa dhamana ya mkataba wa biashara?

Msigwah

Member
Joined
Aug 10, 2017
Posts
10
Reaction score
5
Naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa benki kuwezesha biashara ambayo ndiyo inaanza kwa namna ya wao kama benki kutumia mkataba wa makubaliano ya kibiashara kati ya kampuni yangu na ya China kwenye biashara ya pembejeo?
 
Huo mkataba unahamishika au hauamishiki?
 
Ni sawa na useme nnataka mkopo sahv
Uhakika 100% Nipo kabisa kwenye urithi
na nakala ya mirathi hii hapa nakabidhi.
 
Inawezekana, kwa makubaliano kati ya kampuni yako na bank baada ya bank kujiridhisha upande wa 'risk'
 
Naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa benki kuwezesha biashara ambayo ndiyo inaanza kwa namna ya wao kama benki kutumia mkataba wa nakubaliana ya kibiashara kati ya kampuni yangu na ya China kwenye biashara ya pembejeo?
Itawezekana kama wewe na ao wachina mmekubaliana kuuziana vitu na pesa ya hapo kati yenu nyinyi wawili benk ndio itausika (bank ina act as third part kufacilitate iyo harakati). Lakini io haitoshi labda biashara yako ingekua ya muda kidogo ili wawe na transactions history ndo wajue. Unless hapo ni uweke kitu rehani hivihivi utoboi.
 
Nimekupata mkuu
 
Kwa benki zetu hizi hapa Tanzania Hilo usahau kabisa na usiliweke kichwan Yan hata usiwaze wala usijisumbue kwenda Kama wewe unajijua unakitambulisho Cha NIDA na kura yaan Kama wewe n mtanzania sahau Hilo Ila utapata endapo utatafuta either mchina, mzungu au hata mkenya anaenda kuzuga kuwa yeye n mwekezaji na tayari soko analo Ila mtaji hana hapo chap anapewa.

Kunashida kubwa sana kwa taasisi zetu za kifedha na wasimamizi wake Yan huna nyumba hzo 50m na kuendelea za kulipa utaziskia kwa wengine.

Benk na BOT na wizara za Biashara na uwekezaji wajiangalie jinsi ya kufika Taifa la maendeleo kwakuja na kuamini mpango kazi au mkataba wa Biashara ili kukuza pesa ya ndani{Uchumi}
 
Dah umeandika kwa hisia sana. So far nimekuelewa vema Sana. Tuendelee kupambana hii ndo tanzania yetu
 
Dah umeandika kwa hisia sana. So far nimekuelewa vema Sana. Tuendelee kupambana hii ndo tanzania yetu
Kiukweli tupambane tuu aisee kupata pesa za serikali au ikudhamini n ngumu Sana Ila akija mgeni anaenda bank na kalamu na karatasi anawaonyesha + vingereza vingi anachukua billions kadhaa anasamehewa na Kodi kwa miaka 3 alafu kumbe mtu mwenyewe baada ya kuchukua pesa anapeleka kwao after 6months ashatomea na habari inabaki kwa serikali na bank yaan hii nchi hii Basi tuu
 
Formula ya banki kimsingi ni kuwa wanakujua ukiwa na cash flow nzuri. Usipokuwa na pesa au cash flow nzuri hawataki mazoea na wewe.

Leo hapo hauna hata mia hauoni wakikuletea mazoea. Sasa nenda kafanye mitikasi zako upate biashara, zinazokuingizia lets say kipato cha 80,000 kwa siku na pesa unatoa na kurejesha. Utaona watavyoanza kukupigia simu kukupa. Vi offer vyao vya idangaji.

Benki za siku hizi hazipo smart kama miaka ya nyuma. Wao offer zao wanajitazama wao kwanza sio wewe mteja. Wanataka kukukamua kwa kila senti utayokuwa nao.

Ndio maana watu Smart wenyepesa huwezi kuta wanaweka pesa Bank imekaa tu wanaingiza na inarudishwa kwenye mzunguko chap na hapo ndipo maofisa mikopo wanapoanza shobo kutaka kuleta urafiki wao wa kinafiki na kujuana. Wanakera wale fisi.
 
Inawezekana endapo kampuni husika kutoka China inakubali LC payment

Bank nyingi kama wewe si mteja mzuri hawawezi kubali kukudhamini LC.

Na pia LC mara nyingi hutumika katika kuombea utumiwe BL, mzigo ukishashuka unawalipa Benki pesa zao.

Au kwanini usiongee na Agent wako huko China akuombee Mkopo kutoka hizo Kampuni au Agent akupe mkopo wa Siku 30 baada ya mzigo kufika.
Na hii ni kama wewe ni mteja mzuri usiye yumba yumba
 
Back
Top Bottom