Naweza kupata mkopo wa laki 5 kwa kuweka vyeti vyangu kama Security?

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Habari wakuu!!

Kama kichwa kijielezavyo hapo juu...Naomba msaada wa kupata mkopo wa laki 5 nitaweka vyeti vyangu (primary - chuo) as a security..

Ahsanteni.
 
Mkuu unajua kazi ya security kwenye mkopo? If you you are not able to pay kwa mfano naweza kuuza hivyo vyeti kwa mtu nikarudisha hela yangu? Sifa kubwa mbiki za security ni iwe na monetary value which can be determined easily na iwe convertible into cash to liquidate the loan at any time.
Zifuaatazo zinaweza kuwa security: nyumba, kiwanja, gari, shares, fedha, stock/bidhaa, madeni unayodai, mashine mbali mbali, mikataba n.k. hata hivyo kinachofanya uhalali wa security sio kwa mkopaji kupewa hivyo vitu bali ni kuwa na document zinazoonesha uwepo wa vitu hivyo, umiliki na ni lazima visajiriwe kisheria kuweka zuio na kumpa haki aliekukopesha kuviuza ama kuvitumia pindi utakapo shindwa kurejesha mkopo
 
Ungekua jinsia nyengine nngekufikiria
 
hapo kk huombi mkopo bali unatafta msaada....
hyo hela kwanza unapeleka wap ?..naweza kukusaidia
 
Kuna vyeti vingi vya kutengeneza feki cha form four wanatengeneza 50,000 six 100,000 cheti cha chuo 100,000 jumla 250,000 na huwezi kuvitofautisha hata kidogo na original toa aset nyengine nitakusaidia
 
Habari wakuu!!

Kama kichwa kijielezavyo hapo juu...Naomba msaada wa kupata mkopo wa laki 5 nitaweka vyeti vyangu (primary - chuo) as a security..

Ahsanteni.

Wakati unatafuta kazi jikite hapa pia uweze kujipatia fedha kila ikifika $100 unaidraw nirahisi na bure kabisa alika wate kutengeneza network yako nikama facebook unalipwa kutokana na matangazo kwenye ukurasa wako au wa vizazi vyako. Fuata link hiyo chini kufungua acount CODE ni kasaz

https://www.tsu.co/kasaz

View attachment 233471
 
Hii Kitu Nimekuwa Naiskia Sana Mkuu.

Ulifikiria Mwenyewe au Umeambiwa? Ushawai Kuona au Kuskia? Vyeti Vinakuaje Security? Security ni nini by the way, ni hifadhi au dhamana?

Collateral Security Nimezoea Kuoana Ni Asset. Inakua na Monetary Value na mara nyingi isiohamishika(japo sio lazima sana)

Kama tafsiri yangu ni sahihi hapo juu nadhani vyeti hawiwezi kuwa security.

Ningependa Kuelewa Zaidi Juu ya Hili.
Nikifikiria Halingii Akilini.
 
bwana mdogo mmoja alipata kazi kwa wahindi,ila unajidhamini kwa vyeti vyako vinabaki kwa muajiri(mhindi) alipowauliza kwa nini mnafanya hivi wakasema wabongo nin wezi sana wanaiba then wanakimbia
 
Habari wakuu!!

Kama kichwa kijielezavyo hapo juu...Naomba msaada wa kupata mkopo wa laki 5 nitaweka vyeti vyangu (primary - chuo) as a security..

Ahsanteni.

Mkuu, vyeti havina thamani katika soko. Hamna mtu atakupa mkopo kwa security ya makaratasi.
 
Mkuu hii inakuwaje mataji ni nini?

mtaji nibidii yako kukuza network yako pekee,nikama facebook ila wao wanalipa kutokana namatangazo wanayo post ktk ukurasa wako na vizazi vyako then unatengeza hela kadri network yako inavyo kuwa ukiwa huko utajua zaidi nitakulezea unapokwama
 
Wewew umeshaahi withdraw ilipofika hiyo dola 100?
 
KUNA HUYU YEYE HAWEKI SECURITY ANAKIUZA KABISA.division 3 mwaka 2006 hakina photo
 
Kuna vyeti vingi vya kutengeneza feki cha form four wanatengeneza 50,000 six 100,000 cheti cha chuo 100,000 jumla 250,000 na huwezi kuvitofautisha hata kidogo na original toa aset nyengine nitakusaidia

mkuu si vinatofauti..lakin hakiwezi kufanana na original
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…