Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu!!
Kama kichwa kijielezavyo hapo juu...Naomba msaada wa kupata mkopo wa laki 5 nitaweka vyeti vyangu (primary - chuo) as a security..
Ahsanteni.
Habari wakuu!!
Kama kichwa kijielezavyo hapo juu...Naomba msaada wa kupata mkopo wa laki 5 nitaweka vyeti vyangu (primary - chuo) as a security..
Ahsanteni.
Mkuu hii inakuwaje mataji ni nini?Wakati unatafuta kazi jikite hapa pia uweze kujipatia fedha kila ikifika $100 unaidraw nirahisi na bure kabisa alika wate kutengeneza network yako nikama facebook unalipwa kutokana na matangazo kwenye ukurasa wako au wa vizazi vyako. Fuata link hiyo chini kufungua acount CODE ni kasaz
https://www.tsu.co/kasaz
View attachment 233471
Mkuu hii inakuwaje mataji ni nini?
Jamani na shamba la eka 10 Dodoma, naweza pata mkopo wa millioni 5 kwa miezi 4????
Wewew umeshaahi withdraw ilipofika hiyo dola 100?mtaji nibidii yako kukuza network yako pekee,nikama facebook ila wao wanalipa kutokana namatangazo wanayo post ktk ukurasa wako na vizazi vyako then unatengeza hela kadri network yako inavyo kuwa ukiwa huko utajua zaidi nitakulezea unapokwama
KUNA HUYU YEYE HAWEKI SECURITY ANAKIUZA KABISA.division 3 mwaka 2006 hakina photo
Duh!si mchezo
Kuna vyeti vingi vya kutengeneza feki cha form four wanatengeneza 50,000 six 100,000 cheti cha chuo 100,000 jumla 250,000 na huwezi kuvitofautisha hata kidogo na original toa aset nyengine nitakusaidia