Naweza kupata msaada wapi ili niweze kupata cheti ingali na deni chuo ,nina astashahada ya clinical medicine

Kumfumaster97

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2024
Posts
1,326
Reaction score
1,451
Wakuu habari ya kuamka,natumai mmeamka salama

Kama kichwa cha habari ,kinavyojieleza ,mimi(29) nimesomea clinical medicine nikaamua kuishia ngazi cheti yaani Certificate in clinical medicine 2023 (Njombe)ila changamoto ni kwamba nina deni kubwa chuoni around 2.5M na nyumbani sioni mwanga wa kumaliza hilo deni kwa sababu ya mazingira magumu na ndicho kilichonipelekea kuishia CA

Msaada wa ushauri kutoka kwenu wakubwa/wadogo zangu mliopo humu natumai mtanisaidia ili kujikwamua hapa nilipo ila kwa kipindi hiki nipo nafanya kazi za mtaani ili kupata chochote kitu niweze kupiga hatua.AHSANTENI
 
Weka ushahidi wa kudaiwa na chuo kiasi hicho cha pesa na namba ya akaunti ya benki ya hicho chuo tukufanyie tone tone.
 
Tafuta pesa kama laki tatu au nne nenda chuoni mtafute secretary wa mkuu wa chuo Jenga nae kiutuuzima Mkatie posho akuscanie cheti akupe soft copy kama kukupa cheti original itakua ngumu
 
Ahsante sanaa mkuu kwa ushauri wako,nitafanya hivo
 
Back
Top Bottom