Kumfumaster97
JF-Expert Member
- Sep 18, 2024
- 1,326
- 1,451
Weka ushahidi wa kudaiwa na chuo kiasi hicho cha pesa na namba ya akaunti ya benki ya hicho chuo tukufanyie tone tone.Wakuu habari ya kuamka,natumai mmeamka salama
Kama kichwa cha habari ,kinavyojieleza ,mimi(29) nimesomea clinical medicine nikaamua kuishia ngazi cheti yaani Certificate in clinical medicine 2023 (Njombe)ila changamoto ni kwamba nina deni kubwa chuoni around 2.5M na nyumbani sioni mwanga wa kumaliza hilo deni kwa sababu ya mazingira magumu na ndicho kilichonipelekea kuishia CA
Msaada wa ushauri kutoka kwenu wakubwa/wadogo zangu mliopo humu natumai mtanisaidia ili kujikwamua hapa nilipo ila kwa kipindi hiki nipo nafanya kazi za mtaani ili kupata chochote kitu niweze kupiga hatua.AHSANTENI
Sawa ahsante mkuuEmbu wacheki bank ya crdb au nenda ofisini kwao watakusaidia mkuu
Chuo cha afya ilembula mkuuUmesomea chuo Gani
Deal of millions dollars, kwishaaaaa
Ahsante sanaa mkuu kwa ushauri wako,nitafanya hivoTafuta pesa kama laki tatu au nne nenda chuoni mtafute secretary wa mkuu wa chuo Jenga nae kiutuuzima Mkatie posho akuscanie cheti akupe soft copy kama kukupa cheti original itakua ngumu
Huu ushauri umewasaidia wengi sana kupata vyetiTafuta pesa kama laki tatu au nne nenda chuoni mtafute secretary wa mkuu wa chuo Jenga nae kiutuuzima Mkatie posho akuscanie cheti akupe soft copy kama kukupa cheti original itakua ngumu