Naweza kupata nafasi ya msomo chuo kikuu?

sabufa

Member
Joined
Apr 21, 2013
Posts
26
Reaction score
4
Nina diploma ya ualimu yenye mtokeo ya GPA 2.7.Ninaweza kupata nafasi chuo kikuu?.Naomba msaada wa mawazo.
 
Nina diploma ya ualimu yenye mtokeo ya GPA 2.7.Ninaweza kupata nafasi chuo kikuu?.Naomba msaada wa mawazo.

unapokelewa kabisa(hiyo 2.7 ndio minimum qualification),ila fungua website ya Www.tcu.go.tz alaf u download tcu guidebook tatizo lako litakua limekwisha
 
Nina diploma ya ualimu yenye mtokeo ya GPA 2.7.Ninaweza kupata nafasi chuo kikuu?.Naomba msaada wa mawazo.

Hiyo unaweza soma vyuo vikuu vya India, Malaysia hivi. Kwa Bongo waweza pata IFM,TIA, Mzumbe na vingingine vinavyofanana na hivyo lakini sio UDSM....just saying!
 
Hiyo unaweza soma vyuo vikuu vya India, Malaysia hivi. Kwa Bongo waweza pata IFM,TIA, Mzumbe na vingingine vinavyofanana na hivyo lakini sio UDSM....just saying!

acha sifa kijana. Vyuo vyote vinaratibiwa na tcu,na qualification za kujiunga na ngazi ya degree ziko wazi bila kujali wewe nani au uko wapi! Kwani udsm haiko chini ya tcu?? Unadhani udsm inajitofautishaje na Mzumbe,TIA,IAA ? Umepitia prospectus ya udsm vizuri au unasukumwa na akili mgando?? Unajua chuo gani tz kina hitaji ufaulu wa juu kujiunga ukitokea diploma kuingia degree?? Take care acha sifa na majungu yasiyo na maana kwa maendeleo ya taifa letu,
 
Yaani hili jukwaa mnakera mnapoanza usimbe wa kusifia vyuo...tuangalieni output siyo chuo! Mi jitu mingine utadhani mnagegeduliwa! Wapo watu wamesomea ST.AUGUSTINE leo wako BBC wanafanya vizuri,wako watu wa MUM wanafanya vizur,wapo vijana wa UDOM tra na NMB,CRDB,NBC wanafanya vyema,watu wa hombolo,n.k sasa ww unaposifu chuo labda kuna jingine ulichokipata pale tofauti na elimu...
 
Hiyo unaweza soma vyuo vikuu vya India, Malaysia hivi. Kwa Bongo waweza pata IFM,TIA, Mzumbe na vingingine vinavyofanana na hivyo lakini sio UDSM....just saying!

Hapo UDSM hukuishia kupata degree peke ake,,,lazima kuna cha ziada ulipata ndo maana unasifu chuo na si output! Weka wazi tu biashara iliyokuwezesha pale mabibo
 
Nina diploma ya ualimu yenye mtokeo ya GPA 2.7.Ninaweza kupata nafasi chuo kikuu?.Naomba msaada wa mawazo.
ungechanganua grade kwa kila somo ingekuwa rahisi kuelewa!
 
Hiyo unaweza soma vyuo vikuu vya India, Malaysia hivi. Kwa Bongo waweza pata IFM,TIA, Mzumbe na vingingine vinavyofanana na hivyo lakini sio UDSM....just saying!

Umetoka kijijini tumekupokea wenyewe pale mliimani, uliikuwa hujui hata ku-flash choo leo hii kwa sababu umefumbuliwa macho UDSM basi unadhani ndo chuo pekee duniani.

Vyuo vyote vya Elimu ya juu vinaratibiwa na TCU, kama hujui hilo hata hiyo level uliyofika haijakkusaidia, Rudi Kantalamba uje uanze upya!
 
Kwa mujibu wa prospectus ya udsm,wanasema mtu mwenye diploma atleast awe na Gpa ya 3 na kuendelea,kwa vyuo vingne me sijui mkuu.
 
Like like!
 
Kuna uwezekano mkubwa mkuu, kikubwa we tuma maombi TCU na vyuoni moja kwa moja.
Tuwasiliane kwa msaada zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…