Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina diploma ya ualimu yenye mtokeo ya GPA 2.7.Ninaweza kupata nafasi chuo kikuu?.Naomba msaada wa mawazo.
Nina diploma ya ualimu yenye mtokeo ya GPA 2.7.Ninaweza kupata nafasi chuo kikuu?.Naomba msaada wa mawazo.
Hiyo unaweza soma vyuo vikuu vya India, Malaysia hivi. Kwa Bongo waweza pata IFM,TIA, Mzumbe na vingingine vinavyofanana na hivyo lakini sio UDSM....just saying!
Hiyo unaweza soma vyuo vikuu vya India, Malaysia hivi. Kwa Bongo waweza pata IFM,TIA, Mzumbe na vingingine vinavyofanana na hivyo lakini sio UDSM....just saying!
ungechanganua grade kwa kila somo ingekuwa rahisi kuelewa!Nina diploma ya ualimu yenye mtokeo ya GPA 2.7.Ninaweza kupata nafasi chuo kikuu?.Naomba msaada wa mawazo.
Hiyo unaweza soma vyuo vikuu vya India, Malaysia hivi. Kwa Bongo waweza pata IFM,TIA, Mzumbe na vingingine vinavyofanana na hivyo lakini sio UDSM....just saying!
acha sifa kijana. Vyuo vyote vinaratibiwa na tcu,na qualification za kujiunga na ngazi ya degree ziko wazi bila kujali wewe nani au uko wapi! Kwani udsm haiko chini ya tcu?? Unadhani udsm inajitofautishaje na Mzumbe,TIA,IAA ? Umepitia prospectus ya udsm vizuri au unasukumwa na akili mgando?? Unajua chuo gani tz kina hitaji ufaulu wa juu kujiunga ukitokea diploma kuingia degree?? Take care acha sifa na majungu yasiyo na maana kwa maendeleo ya taifa letu,