Naweza kupata passport wilayani? Au mpaka kurasini Dar es salaam?

Naweza kupata passport wilayani? Au mpaka kurasini Dar es salaam?

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Nipo wilayani ila ni mbali na ofisi za uhamiaji je naweza kupata passport wilayani au mpaka kwenda mkoani au makao makuu Dar es salaam?
 
Kuna uzi humu jamaa alianzisha anajibu maswali kuhusu passport ukiupata nadhani utakua umefanikiwa, siikumbuki tittle yake ila jaribu kutafuta kutumia neno"Passport"
 
Ila usiwe wilaya za pembezon mwa nchi kama Kibondo,Kakonko, Nanyumbu, Longido, Nyasa.
 
Ukiomba hati ya kusafiria hata ukiwa Wilayani bado unaweza kuipata!

Jambo la kushauri ni kuwa na nyaraka zote zinazohitajika ikiwemo barua ya utambulisho kutoka Serikali ya mtaa/Kijiji

Cheti za kuzaliwa n.k

Muda wa kusubiri ni kuanzia siku 14
 
Kama kuna ofisi ya uhamiaji kwa ajili ya kuchukua biometrics, kama hakuna unahitajika kufika mkoani.
 
Back
Top Bottom