Habari wazee, nipo A town na nategemea kuondoka leo jioni kama nitabahatisha Gari inayoenda Dar, Private. Vipi kuna uwezekano? kwa wataalam Gari kama hizo hupaki wapi hapa mjini
Ila kuwa makini sana mkuu kutapeliwa au kuhatarisha maisha yako, afu pia safari za usiku siyo nzuri sana hasa wakati huu wa mvua ila nafikiri private ar-dar rahisi zaidi kupata ni moshi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.