Naweza kupata Private kutoka Arusha hadi Dar

Naweza kupata Private kutoka Arusha hadi Dar

pharao

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2017
Posts
397
Reaction score
690
Habari wazee, nipo A town na nategemea kuondoka leo jioni kama nitabahatisha Gari inayoenda Dar, Private. Vipi kuna uwezekano? kwa wataalam Gari kama hizo hupaki wapi hapa mjini
 
Nenda pale STAND kubwa kuna kipindi 2017 yalikuwepo baadhi, sasa hivi sijajua
 
Ila kuwa makini sana mkuu kutapeliwa au kuhatarisha maisha yako, afu pia safari za usiku siyo nzuri sana hasa wakati huu wa mvua ila nafikiri private ar-dar rahisi zaidi kupata ni moshi.
 
Back
Top Bottom