Naweza kupata toyota passo kwa tsh milion 4?

Naweza kupata toyota passo kwa tsh milion 4?

nundaz

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2012
Posts
272
Reaction score
193
Wadau wa jf kwema? Naweza pata gari aina ya toyota passo yenye namba D kwa bei ya tsh milion 4? Yenye cc900? Naomba kupokea ushauri na mawazo kutoka kwenu ni mgeni kwenye maswala ya magari
 
Kwenye Uzi wa wauzaji magari ungepata jibu sahihi zaidi

Passo kwa hiyo itakuwa imechoka sana haina hadhi ya kuwa gari mpya mkononi kwa mtu

Ongeza 2 ml itakusaidia kupata gari nzuri zaidi na yenye maisha marefu ya kuwa barabarani
 
unapata mkuu.. ila ushauri tu nunua kwa unaemwamini..

na gari usiangalie namba angalia ubora... kuna namba d ni mkangafu na kuna namba a ni nzuri kabisa
Asante sana mkuu kwa ushauri wako! Nitauzingatia vizuri ngoja nipate mawazo ya wadau wengine!
 
Wadau wa jf kwema? Naweza pata gari aina ya toyota passo yenye namba D kwa bei ya tsh milion 4? Yenye cc900? Naomba kupokea ushauri na mawazo kutoka kwenu ni mgeni kwenye maswala ya magari
Unapata kaka ila itakuwa imechoka ni kweli......!
 
Mzee naona hujanielewa,sikuwa na maana ya mashindano ya magari,nilimaanisha ukikamata vits madereva wenzio watakuwa kina dada
hahahh daah mbona minaendesha vits aisee sio mdada ila JF ukiwa serious sana utamkufuru Mungu aisee
 
Back
Top Bottom