Naweza kupata toyota passo kwa tsh milion 4?

Naweza kupata toyota passo kwa tsh milion 4?

Passo umepata lakini nipo njombe mkuu ukwapi ww"
 
Kila mtu anajua kila kitu
Kila mtu ana bilioni kwenye akaunti
Kila mtu maisha safi

Isipokuwa Mimi na wewe tu.
kila mtu jf anafahamiana na mabosi wakubwa wakubwa isupokuwa mimi na nyie tu
 
Ni bora ukanunue bajaji au Toyo la miguu mitatu ukabebe matenga ya nyanya pale buguruni
 
Back
Top Bottom