Naweza kupata wapi beet roots na komamanga kwa Dar?

MAJIYAPWANI

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
1,726
Reaction score
2,691
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema ni wapi naweza pata hayo matunda kwa Dar es Salaaam na je beibyake kiasi gani kuanzi robo, nusu, au kilo.

Asanteni.
 
Beetroot na Komamanga yanapitishwa hata barabarani na wale wauza mbogamboga ila unaweza kwenda Kisutu Market kama uko hapa mjini Dar.
 
Beetroot na Komamanga yanapitishwa hata barabarani na wale wauza mbogamboga ila unaweza kwenda Kisutu Market kama uko hapa mjini Dar.
ntaibuka kisutu wikend moja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…