CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wakuu kuna hawa Ng'ombe Aina ya Fleckvieh ambao ni Dual- purpose cow yaani wanafaa kwa ajili ya Maziwa na Nyama na wanatoa maziwa Mengi labda kuliko aina yoyote ile ya Ng'ombe.
Nilitaka kujua kama wanapatikana Bongo make hawa Ng'ombe ni kutoka katika highlands za upper Bavarian region nchini Germany na vilevile wanapatikana Switzerland na Austria,
Hawa Ng'ombe wana uwezo mkubwa kabisa wa utoaji maziwa,
UZAO WA KWANZA HUTOA LITA KATI YA 25-30 NA UZAO WA PILI NI KATI YA 30-35 HUKU UZAO WA TATU IKIFIKIA 35-40.