jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Hawa Ng'ombe wapo vizuri sana halafu pia ni fursa mtu akiweza kuwapata na kuwauza hapa kwetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100%kiongozi tena fanya mwezi wa nane ili twende woteUna uhakika?
Ili nitembelee siku moja hapo ndanda
Sawa kiongozi100%kiongozi tena fanya mwezi wa nane ili twende wote
Wakuu kuna hawa Ng'ombe Aina ya Fleckvieh ambao ni Dual- purpose cow yaani wanafaa kwa ajili ya Maziwa na Nyama na wanatoa maziwa Mengi labda kuliko aina yoyote ile ya Ng'ombe.
Nilitaka kujua kama wanapatikana Bongo make hawa Ng'ombe ni kutoka katika highlands za upper Bavarian region nchini Germany na vilevile wanapatikana Switzerland na Austria,
Hawa Ng'ombe wana uwezo mkubwa kabisa wa utoaji maziwa,
UZAO WA KWANZA HUTOA LITA KATI YA 25-30 NA UZAO WA PILI NI KATI YA 30-35 HUKU UZAO WA TATU IKIFIKIA 35-40.
![]()
[/QU![]()
Kwa mujib wa sifa za hawa ng'ombe sio unaowazungumzia maan sifa yao hawali sana wanatoa maziwa mengi pia ni ng'ombe wanaohimili magonjwa ,mkuu huenda unzungumzia ng'ombe wanaofuga masaihii kitu inapatikana Peramiho kwa Benedictine Fathers tulikuwa tunafuga hawa ilikuwa baalaa mtaani dume likitoka niliwajengea reserve ya majani ya gorofa mbili nawakamaliza wanakula sio mchezo ujipange na wanafumilia magonjwa sio kama freshean ambao kwenye joto hawawezi kuzalisha maziwa kwa wingi.
Mzee sperm doller elfu tatu?? Zina ujazo gani?nenda kijiji cha ifunda, iringa uliza tu kwa mzungu wa ngombe, anauza madume na mbegu(sperm anauza $3,000) pia na mara nyingi hupeleka ngombe wake huko kwenye maonyesho kenya na south africa.
Mkuu akileta tupe mrejesho na mm nahtaji, ikibd akija na waakiba tufanye biashara!Kuna jamaa yangu ameagiza hawa ngombe kutoka Germany hapa hapa arusha anataka kuanza biashara ya maziwa
Kenya wanapatikana kaunti gani mkuu?KENYA WANAPATIKANA SANA UZURI WAO SIO RAHISI KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA ,NA HAWATUMII CHAKULA KINGI SANA GHARAMA NI KAMA KSH 250,OOO.WAKO VIZURI,KAMA UNA WAHITAJI WE NENDA KENYA BONGO UJANJA MWINGI
Sawa mkuu ila sidhani kama atauza kwa sasa labda wakishazalianaMkuu akileta tupe mrejesho na mm nahtaji, ikibd akija na waakiba tufanye biashara!
Wakuu kuna hawa Ng'ombe Aina ya Fleckvieh ambao ni Dual- purpose cow yaani wanafaa kwa ajili ya Maziwa na Nyama na wanatoa maziwa Mengi labda kuliko aina yoyote ile ya Ng'ombe.
Nilitaka kujua kama wanapatikana Bongo make hawa Ng'ombe ni kutoka katika highlands za upper Bavarian region nchini Germany na vilevile wanapatikana Switzerland na Austria,
Hawa Ng'ombe wana uwezo mkubwa kabisa wa utoaji maziwa,
UZAO WA KWANZA HUTOA LITA KATI YA 25-30 NA UZAO WA PILI NI KATI YA 30-35 HUKU UZAO WA TATU IKIFIKIA 35-40.
![]()
Mkuu mada nzuri . Lakini sasa umeongelea sana maziwa ila picha ukaweka ya ng'ombe mwenye pumbu? (Natania tu ) tuendelee kujadili wakuu
![]()
Mkuu hawa ng'ombe wanapatikana tengeru, au kongwa kwenye kituo cha utafiti, ila ukitaka kuwafuga uwe vzr, wanakula sana na maji wanakunywa Lita 40 hadi 60 kwa siku. Na ukiwa na wawili au watatu uhakikishe una pa kusupply maziwa.Wakuu kuna hawa Ng'ombe Aina ya Fleckvieh ambao ni Dual- purpose cow yaani wanafaa kwa ajili ya Maziwa na Nyama na wanatoa maziwa Mengi labda kuliko aina yoyote ile ya Ng'ombe.
Nilitaka kujua kama wanapatikana Bongo make hawa Ng'ombe ni kutoka katika highlands za upper Bavarian region nchini Germany na vilevile wanapatikana Switzerland na Austria,
Hawa Ng'ombe wana uwezo mkubwa kabisa wa utoaji maziwa,
UZAO WA KWANZA HUTOA LITA KATI YA 25-30 NA UZAO WA PILI NI KATI YA 30-35 HUKU UZAO WA TATU IKIFIKIA 35-40.
![]()
![]()
Shida ni upatikanaji wao hapa Tanzania!!!Utoaji wa maziwa kiasi hicho pia huchochewa na Hali ya hewa ya unapofugia
Sent using Jamii Forums mobile app
CHASHA FARMING,,,makala zako nyingi za ufugaji wa kuku zilinipa sana faida,,,,Mungu akubari mkuu ChashaWakuu kuna hawa Ng'ombe Aina ya Fleckvieh ambao ni Dual- purpose cow yaani wanafaa kwa ajili ya Maziwa na Nyama na wanatoa maziwa Mengi labda kuliko aina yoyote ile ya Ng'ombe.
Nilitaka kujua kama wanapatikana Bongo make hawa Ng'ombe ni kutoka katika highlands za upper Bavarian region nchini Germany na vilevile wanapatikana Switzerland na Austria,
Hawa Ng'ombe wana uwezo mkubwa kabisa wa utoaji maziwa,
UZAO WA KWANZA HUTOA LITA KATI YA 25-30 NA UZAO WA PILI NI KATI YA 30-35 HUKU UZAO WA TATU IKIFIKIA 35-40.
![]()
![]()
Ulifanikiwa mkuu? Uliwachukua wapi na bei ni kiasi gani kwa muda ulionunuaWakuu kuna hawa Ng'ombe Aina ya Fleckvieh ambao ni Dual- purpose cow yaani wanafaa kwa ajili ya Maziwa na Nyama na wanatoa maziwa Mengi labda kuliko aina yoyote ile ya Ng'ombe.