CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Wakuu kuna hawa go'ombe Aina ya Fleckvieh ambao ni Dual- purpose cow yaani wanafaa kwa ajili ya Maziwa na Nyama na wanatoa maziwa Mengi labda kuliko aina yoyote ile ya Ng'ombe.
Nilitaka kujua kama wanapatikana Bongo make hawa Ng'ombe ni kutoka katika highlands za upper Bavarian region nchini Germany na vilevile wanapatikana Switzerland na Austria,
Hawa Ng'ombe wana uwezo mkubwa kabisa wa utoaji maziwa,
UZAO WA KWANZA HUTOA LITA KATI YA 25-30 NA UZAO WA PILI NI KATI YA 30-35 HUKU UZAO WA TATU IKIFIKIA 35-40.
Nataka kuagiza kutoka Kenya so nilitaka kujua kama wako Bongo Make Kenya wanapatikana na wanawachukua South Africa na kuna Mbegu huchukuliwa Bavaria Ujeruman.
Mapema Feb nilipandisha ng,ombe wangu kwa Mbegu ya kawaida baada ya kusubiria hii iliyoko juu kutoka kenya, Kampuni inataka iuze mbegu nyingi kwa wakati mmoja sio mmoja mmoja. Vile vile nilijaribu kuulizia huku tz kwa Maofisa wa Animal,s Hearlth zikupata, Kwa hio ni ngumu kupata kwa Mfugaji mmoja.
Nimewaona juzi wakionyeshwa KTN ni balaa ng'ombe anatos Lita 30
Mapema Feb nilipandisha ng,ombe wangu kwa Mbegu ya kawaida baada ya kusubiria hii iliyoko juu kutoka kenya, Kampuni inataka iuze mbegu nyingi kwa wakati mmoja sio mmoja mmoja. Vile vile nilijaribu kuulizia huku tz kwa Maofisa wa Animal,s Hearlth zikupata, Kwa hio ni ngumu kupata kwa Mfugaji mmoja.
Babu yangu alikuwanao. Unakamua mchana na jioni.
Hii breed si ya zamani hivyo,