Naweza kupata wapi ng'ombe aina ya Fleckvieh, ambayo ni the second largest dairy breed in the world?

Iyo breed imeingia Kenya miaka ya 2008. Bado aijatapakaa apa Tanzania, nimetembelea Maonyesho ya nane nane apo Morogoro iyo breed aipo na hata wataaramu wote waliopo wa mifugo niliyokutana nao pale nane nane awana kabisa taarifa ya iyo Fleckvieh ng'ombe. Nimemulizia mtaaramu mmoja akaniambia eti Aysha ng'ombe, nikaona wengi bado awajaijua iyo breed, ila Nane nane ya Arusha Lazima atakuwepo, maana kule ni Karibu na Kenya, kwa iyo watu wanaweza wakawa washaipata
 
Hawa ng'ombe wanakubali sehemu za joto kama huko Kisarawe?
 
mkuu..ulifanikiwa kuagiza hawa ngombe??
 
Kuwapata sio rahisi ila unaweza pata mbegu zake una cros na Fersian
 
Kuna jamaa aliniambia wanapatikana sua
 
KENYA WANAPATIKANA SANA UZURI WAO SIO RAHISI KUSHAMBULIWA NA MAGONJWA ,NA HAWATUMII CHAKULA KINGI SANA GHARAMA NI KAMA KSH 250,OOO.WAKO VIZURI,KAMA UNA WAHITAJI WE NENDA KENYA BONGO UJANJA MWINGI
 
Tafuta mawasiliano ya National Artificial Insermintation Centre (NAIC), ipo Usa-River, Arusha. Hawa mabwana watakujuza vizuri kuhusiana na Ng'ombe hiyo pamoja na Breeds nyingine nyingine nzuri kulingana na jeografia ya eneo utakalo fugia.

Utanishukuru baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…