BROTHER OF BROTHERS
Senior Member
- Jun 30, 2013
- 113
- 159
Mimi ni kijana Mtanzania Nimemaliza Elimu ya Kidato Cha nne mwaka 2008 ila sikuridhika na matokeo kwani nilipata Division IV, Sasa nimesoma Level za Cheti na Diploma lakini natamani Kurudia Mtihani huu. Naomba Ushauri Kwa yeyote anayejua procedures na nifanye kitu gani niweze kufuzu ukizingatia nimeshakaa mtaani Kwa miaka 14 Naomba kuwasilisha