BROTHER OF BROTHERS
Senior Member
- Jun 30, 2013
- 114
- 160
Aiseee! 14 years? Pole sanaMimi ni kijana Mtanzania Nimemaliza Elimu ya Kidato Cha nne mwaka 2008 ila sikuridhika na matokeo kwani nilipata Division IV, Sasa nimesoma Level za Cheti na Diploma lakini natamani Kurudia Mtihani huu. Naomba Ushauri Kwa yeyote anayejua procedures na nifanye kitu gani niweze kufuzu ukizingatia nimeshakaa mtaani Kwa miaka 14 Naomba kuwasilisha
mpe na mbinu afanyeje aweze kushinda ukiangalia na umri wake lazima atakuwa na majukumu/wategemezi.Unarudia vizuri tu
Nisaidie Tactics bro serious nitarudia Ndugu yangu.Unarudia vizuri tu
Angalia mda wako ( ratiba yako na majukumu ), yanakupa nafasi ( mda gani kuwa huru kujihusisha na kitabu ), angalia center nzuri ambayo huwa zinatoa watu wanapo rudia mitihani, center zingine huwa kama zina kimavi. Angalia rime, angaliw thw best centerNishauri Best yangu hata Kwa Idea yako Boss.
Nisaidie Tactics bro serious nitarudia Ndugu yangu.
Bro kwa upole tu nakushauri huu uzi ungeutunza na kuuleta baada ya wiki hivi. Ni jana tu ajali ya ndege imetokea. Tuwatendeeni haki waliofiwa jamaniMimi ni kijana Mtanzania Nimemaliza Elimu ya Kidato Cha nne mwaka 2008 ila sikuridhika na matokeo kwani nilipata Division IV, Sasa nimesoma Level za Cheti na Diploma lakini natamani Kurudia Mtihani huu. Naomba Ushauri Kwa yeyote anayejua procedures na nifanye kitu gani niweze kufuzu ukizingatia nimeshakaa mtaani Kwa miaka 14 Naomba kuwasilisha