Naweza kusoma certificate ya kilimo au Afya kwa alama hizi za form 4?

allina

Member
Joined
Mar 7, 2014
Posts
76
Reaction score
13
Habari zenu ndugu,

Kwenye cheti changu cha kidato cha nne cha mwaka 2005 nina Agr C, chem C, bio D na engl C, math F, geo D, phy sikusoma.

Nalenga kusoma certificate ya kilimo au afya. je! yawezekana na niwapi nitaweza kusoma ?

(masomo ya sanaa sidhan kama yanahuska hapo)

ahsanteni.
 
Unaweza mkuu,ila kwa baadhi ya vyuo umechelewa kutuma maombi. Kwa afya ujaribu mirembe Dodoma,kwa Kilimo tuma maombi yako TRACDI -DODOMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…