the boss13
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 422
- 215
kama una ndugu mwaminifu,ukiwa uchina unaweza ukawa umtumia mzigo hata kwenye ndege za mizigo na yeye anauza huku tz alafu anakutumia pesa unanunua tena mzigo unatuma.hivyo hivyo.
kuna jamaa nawajua hapa mwanza wana kaka yao amasoma china yaani wametajirika muda mfupi sana.
natamani ungekuwa ndugu yangu yaani utajiri huo hapo kabisa.
shukrani mkuu kwa ushauri wako dat y na mm nkachagua china cos ov a lot ov opportunity available there
naona kama unaanza kuandika kichina.
sijakusoma mkuu
wadau naomba msaada kwa anaejua mwaka huu natarajia kwenda kusoma degree yangu ya pili( masters ) huko china nimeshaanza michakato ya kwenda huko je kwa mwenye ufaham.na china.opportunity gany naweza faidika nazo kwa.mimi kuwa kule na kiu sana ya mimi siku moja.kuwa mfanyabiashara mwenye mafanikio
kwa anaejua tafadhali naomba ushauri
naona kama unaanza kuandika kichina.
sijakusoma mkuu
shukrani mkuu kwa ushauri wako dat y na mm nkachagua china cos ov a lot ov opportunity available there
ANGALIZO: Ukiwa kule u concetrate sana na kitabu usije ukabase sana kwenye business ukajikuta unafeli shule mkuu!
Hili nalo neno,ukizingatia itabidi ajifunze kichina kwanza halafu ndio aingie class kusoma kilichompeleka.Wahenga walisema "mshika mawili............"